Simba Hawana Uvumilivu na Wachezaji Wao, Embu Ona Yanga na Dube Simba Wakasome

Simba Hawana Uvumilivu na Wachezaji Wao, Embu Ona Yanga na Dube Simba Wakasome

 Mashabiki-wa-Yanga-waliamua-kumuunga-mkono-Prince-Dube-katika-nyakati-zake-ngumu-goli-alilofun.webp

Mashabiki wa Yanga waliamua kumuunga mkono Prince Dube katika nyakati zake ngumu, goli alilofunga juzi lilikuwa kama zawadi ya Imani yao kwake.

Mashabiki wa Simba baada ya kipigo cha mechi ya kwanza wamemaliza Ellie Mpanzu wana amini sio mchezaji, kuna mechi tano zinazokuja na niamini bado kuna twist zitakuja sababu ndio kwanza kazi imeanza.

Pedro Goncalves alizungumzia kuhusu positive mindset ndani ya klabu ya Yanga kumpa ushirikiano mchezaji wa kihisia ndani na nje ya uwanja sababu anajua umuhimu wa kuwa na positive mindset, a negative mindset haina faida yoyote.

Ni huzuni mashabiki wa Simba wanashindwa kuwa na positive mindset kwenye nyakati ngumu, anguko kubwa huwa ni kupoteza focus.

Mpeni support Mpanzu wanaosema ni mchezaji wa kawaida ni mihemuko sababu ndani ya wiki inayokuja wanaweza kuzungumza tofauti.

Post a Comment

0 Comments