
Nyota wa Pyramids, Fiston Mayele ameingia katika tatu bora ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa klabu kwa Afrika kwa mwaka 2025, huku Nahodha wa klabu ya Simba, Shomari Kapombe akiondoshwa katika kinyang’anyiro hicho.
Wachezaji wanaochuana na Mayele katika fainali ni Mohamed Chibi (Pyramids) na Oussama Lamlioui (RS Berkane).
Orodha ya awali iliyotangazwa na CAF ilikuwa na jumla ya wachezaji 10 akiwamo Kapombe.
0 Comments