SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya baada ya kujiridhisha na marekebisho yaliyofanywa kwamba yameurejeshea ubora sahihi kwa matumizi ya mechi za Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara.

0 Comments