Fally Ipupa kuweka historia Ufaransa

Fally Ipupa kuweka historia Ufaransa

 Fally Ipupa kuweka historia Ufaransa

Mwanamuziki kutoka nchini DR Congo Fally Ipupa, ambaye atanajwa kama mmoja wa icons wakubwa wa muziki barani Afrika na dunia anatarajia kuweka historia nchini Ufaransa kwa kutumbuiza katika ukumbi wa Stade de France Mei 2, 2026, akiadhimisha miaka 20 ya safari yake ya muziki.

Ipupa ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa Kiafrika kujaza Stade de France uwanja wenye uwezo wa kubeba watu 80,000 huku akiandika historia kwa kuuza tiketi zote miezi mine kabla ya show.

Tamasha hilo linatarajiwa kuwa sherehe ya kihistoria itakayoenzi ubunifu, ushawishi na ukubwa wa msanii ambaye amekuwa akiipperusha bendera ya Afrika katika majukwaa makubwa zaidi duniani.

Ipupa amekuwa akikubalika Zaidi kupitia ngoma zake mbalimbali ikiwemo Maria PM, Mayday, Science-Fiction, Bloqué na nyinginezo nyin

Post a Comment

0 Comments