Al Ahli Wanataka Fei Toto Kwa Udi na Uvumba, Watenga Bilioni 2

Al Ahli Wanataka Fei Toto Kwa Udi na Uvumba, Watenga Bilioni 2

 

Habari kutoka Libya zinaeleza kuwa Al Ahli Tripoli wametuma rasmi ofa ya $800,000 (takribani TSh 2.1 bilioni) kwa Azam FC kutaka kumsajili kiungo hatari Feisal Salum “Fei Toto”

Mabingwa hao wa Libya wanaripotiwa kuvutiwa na ubora wa Feisal kwenye michezo ya kimataifa, wakiamini anaweza kuimarisha safu yao ya kiungo.

Azam FC bado hawajatoa jibu rasmi kuhusu ofa hiyo ðŸ‘€

Post a Comment

0 Comments