CHUGA BOY WA FOUNTAIN GATE MCHEZAJI BORA LIGI KUU OKTOBA

CHUGA BOY WA FOUNTAIN GATE MCHEZAJI BORA LIGI KUU OKTOBA

 

MSHAMBULIAJI chipukizi wa Fountain Gate, Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mwezi Oktoba, 2025.
Pamoja na Chuga Boy kushinda Tuzo hiyo — pia Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mohamed Laizer amshinda Tuzo ya Kocha Bora wa Mwezi na Meneja wa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa unaotumiwa na Fountain Gate, Jackson Mwendwa ndiye Meneja Bora wa Uwanja.

Post a Comment

0 Comments