YANGA YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA, NI KIJANI, NJANO NA KAHAWIA

YANGA YATAMBULISHA JEZI ZA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA, NI KIJANI, NJANO NA KAHAWIA

YANGA imetambulisha jezi zake itakazotumia kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika – ambazo kama kawaida za nyumbani ni za rangi ya kijani na ugenini njano – na ya tatu rangi ya kahawia.

Post a Comment

0 Comments