
BREAKING NEWS
Kocha wa KMC Marcio Maximo yupo kwenye wakati mgumu ndani ya klabu hiyo, na kwa taarifa tulizonazo, inawezekana kabisa muda wowote akafutwa kazi
Viongozi wa KMC hawajaridhishwa na mwenendo wa timu, ikiwemo msururu wa matokeo mabaya katika michezo ya hivi karibuni ambayo imeiacha klabu katika nafasi ya chini kwenye msimamo wa ligi
0 Comments